You can edit almost every page by Creating an account. Otherwise, see the FAQ.

Rushwa

From EverybodyWiki Bios & Wiki

Script error: No such module "AfC submission catcheck".

Rushwa na athari zake[edit]

Rushwa[1] ni fedha au kitu cha thamani kinachotolewa au kupewa mtu mwenye madaraka ya jambo fulani ili mtoaji apatiwe upendeleo. Pia rushwa ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa binafsi. Kuna Aina za rushwa ambazo watu hutoa kwa ajili ya kupata upendeleo toka kwa wale wanaopewa ambao ni watu wenye mamlaka fulani juu ya jambo fulani ambayo mtoaji rushwa analihitaji. Rushwa imegawanyika katika makundi mawili nayo ni 1. Rushwa ndogo 2. Rushwa kubwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), pamoja na mambo mengine, ina jukumu la kuzuia rushwa kupitia uimarishaji mifumo.





References[edit]

  1. "Rushwa", Wikipedia, kamusi elezo huru (in Kiswahili), 2020-05-02, retrieved 2024-04-16


This article "Rushwa" is from Wikipedia. The list of its authors can be seen in its historical and/or the page Edithistory:Rushwa. Articles copied from Draft Namespace on Wikipedia could be seen on the Draft Namespace of Wikipedia and not main one.